TRT Katika Maoni
Maoni
Türkiye
Uturuki kuungana na Afrika Kusini katika kesi ya mauji ya halaiki dhidi a Israel —Waziri wa Mambo ya Nje Fidan
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki ametangaza uamuzi wa Uturuki wa kushiriki katika kesi dhidi ya Israeli ya mauaji ya halaiki katika Mahakama ya Umoja wa Mataifa, na kusema kuwa punde Ankara itakamilisha taratibu za kisheria kwa ajili ya kesi hiyo.Afrika
Mamlaka ya petroli nchini Kenya yaonya juu ya kuchafuliwa mafuta katika mafuriko
Mamlaka inayohusika na Udhibiti wa Nishati na Petroli nchini Kenya EPRA, imeagiza vituo vya kuuzia mafuta vilivyofurika maji kufungwa kwa muda huku ikihofia uwezekano wa kuvuja petroli katika mazingira kutokana na mafuriko yanayoendeleaUlimwengu